Jifunze Graphics Design (Adobe Photoshop)
Jifunze Graphics Design (Adobe Photoshop), available at $49.99, with 40 lectures.
You will learn about Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kutumia Adobe Photoshop Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kutumia tools za Photoshop Mwanafunzi atajifunza misingi ya Graphics design kwenye Photosho Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign flyers Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign posters Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign business cards n.k This course is ideal for individuals who are Kozi hii ni kwaajili ya mtu yeyote anaehitaji kujifunza Adobe Photoshop na Graphics design kwaajili ya kudesign Posters, Business cards, vipeperushi n.k It is particularly useful for Kozi hii ni kwaajili ya mtu yeyote anaehitaji kujifunza Adobe Photoshop na Graphics design kwaajili ya kudesign Posters, Business cards, vipeperushi n.k.
Enroll now: Jifunze Graphics Design (Adobe Photoshop)
Summary
Title: Jifunze Graphics Design (Adobe Photoshop)
Price: $49.99
Number of Lectures: 40
Number of Published Lectures: 40
Number of Curriculum Items: 40
Number of Published Curriculum Objects: 40
Original Price: $19.99
Quality Status: approved
Status: Live
What You Will Learn
- Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kutumia Adobe Photoshop
- Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kutumia tools za Photoshop
- Mwanafunzi atajifunza misingi ya Graphics design kwenye Photosho
- Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign flyers
- Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign posters
- Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign business cards n.k
Who Should Attend
- Kozi hii ni kwaajili ya mtu yeyote anaehitaji kujifunza Adobe Photoshop na Graphics design kwaajili ya kudesign Posters, Business cards, vipeperushi n.k
Target Audiences
- Kozi hii ni kwaajili ya mtu yeyote anaehitaji kujifunza Adobe Photoshop na Graphics design kwaajili ya kudesign Posters, Business cards, vipeperushi n.k
Karibu katika mafunzo Graaphics Design kwa kutumia programu ya Adobe Photoshop. Ni programu inayotumika kufanya Photo Editing na Graphics design. Katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe Photoshop kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing mbalimbali kama vile posters design, business cards design, Brochure design, Flyers design, n.k utapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uweze kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.
Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Graphics Designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design sasa.
Course Curriculum
Chapter 1: Utangulizi
Lecture 1: 00. Mwongozo wa mafunzo
Chapter 2: Mwanzo wa Mafunzo
Lecture 1: 01. Mwongozo wa Adobe Photoshop
Lecture 2: 02. Jinsi ya kuandaa workspace
Lecture 3: 03. Jinsi ya kutumia selection tools
Lecture 4: 04. Jinsi ya kusave na kufungua files
Lecture 5: 05. Jinsi ya kutumia selection tools sehemu ya pili (02)
Lecture 6: 06. Jinsi ya kutumia Layer panel
Lecture 7: 07. Jinsi ya kutumia Crop tool
Lecture 8: 08. Jinsi ya kutumia Brush tool
Lecture 9: 09. Jinsi ya kutumia Clone stamp tool
Lecture 10: 10. Jinsi ya kutumia healing, spot healing, patch na remove tools
Lecture 11: 11. Jinsi ya kutumia Content aware fill & Move
Lecture 12: 12. Jinsi ya kutumia Eraser tool
Lecture 13: 13. Jinsi ya kutumia Blur tool
Lecture 14: 14. Jinsi ya kutumia Layer Mask
Lecture 15: 15. Jinsi ya kutumia History panel & History Brushes
Lecture 16: 16. Jinsi ya kutumia pen tool & Path
Lecture 17: 17. Jinsi ya kutumia vector shapes
Lecture 18: 18. Jinsi ya kutumia Vector smart object
Lecture 19: 19. Jinsi ya kutumia Raster smart object
Lecture 20: 20. Jinsi ya kutumia Clipping masks
Lecture 21: 21. Jinsi ya kutumia Type tool
Lecture 22: 22. Jinsi ya kutumia Dodge, burn & sponge tools
Lecture 23: 23. Jinsi ya kutumia Gradients
Lecture 24: 24. Jinsi ya kutumia patterns
Lecture 25: 25. Jinsi ya kutumia layer style
Lecture 26: 26. Jinsi ya kutumia Blend If
Lecture 27: 27. Jinsi ya kutumia Vanishing point
Lecture 28: 28. Jinsi ya kutumia Liquify tool
Lecture 29: 29. Jinsi ya kutumia Puppet wrap
Lecture 30: 30. Jinsi ya kutumia perspective wrap
Lecture 31: 31. Jinsi ya kutumia stroke on path
Lecture 32: 32. Jinsi ya kutumia Align & Fill layers
Lecture 33: 33. Jinsi ya kutumia Vector masks
Lecture 34: 34. Jinsi ya kuanza kufanya designing kwenye photoshop
Lecture 35: 35. Jinsi ya kudesign posters/bango
Lecture 36: 36. Jinsi ya kudesign posters/ bango sehemu ya pili
Lecture 37: 37. Jinsi ya kudesign business cards/kadi za biashara
Lecture 38: 38. Jinsi ya kudesign flyers/vipeperushi
Lecture 39: 39. Jinsi ya kusave na ku-export kazi kwa matumizi
Instructors
-
Mitambo Hafidhi
Mkufunzi Udemy
Rating Distribution
- 1 stars: 0 votes
- 2 stars: 0 votes
- 3 stars: 0 votes
- 4 stars: 0 votes
- 5 stars: 0 votes
Frequently Asked Questions
How long do I have access to the course materials?
You can view and review the lecture materials indefinitely, like an on-demand channel.
Can I take my courses with me wherever I go?
Definitely! If you have an internet connection, courses on Udemy are available on any device at any time. If you don’t have an internet connection, some instructors also let their students download course lectures. That’s up to the instructor though, so make sure you get on their good side!
You may also like
- Top 10 Video Editing Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Music Production Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Animation Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Digital Illustration Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Renewable Energy Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Sustainable Living Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Ethical AI Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Cybersecurity Fundamentals Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Smart Home Technology Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Holistic Health Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Nutrition And Diet Planning Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Yoga Instruction Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Stress Management Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Mindfulness Meditation Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Life Coaching Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Career Development Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Relationship Building Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Parenting Skills Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Home Improvement Courses to Learn in November 2024
- Top 10 Gardening Courses to Learn in November 2024